Burudani

Kauli ya mwisho kutoka kwa Wayne Rooney kuhusu tetesi za kuondoka Manchester United….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Nahodha wa timu ya taifa ya Uingereza Wayne Rooney ametoa kauli ya mwisho ya Manchester United baada ya kuwa na tetesi ya kuhamia timu ya China.

Rooney “Pamoja na klabu kadha kuonyesha nia ya kunihitaji, jambo ambalo ninajivunia, ningependa kuthibitisha kwamba nitaendelea Kubaki Manchester United

Rooney ndio mchezaji aliyefunga magoli mengi zaidi chini ya Man Untd, ameshinda makombe matano ya Premier League na kombe moja la Champions League toka kujiunga na klabu hio akiwa na miaka 18 kwa ada ya pound milioni £27 kutoka Everton mwaka 2004.

Mkataba wa Rooney unaisha 2019.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open