Burudani

Hii video mpya kutoka WCB Wasafi ‘Zilipendwa’ Yupo Diamond Platnumz,Harmonize,Rich Mavoko,Rayvanny, Itazame hapa

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya Ali Kiaba kutoa #SeduceMe  sasa msanii Diamond Platnumz kupitia lebo yake kubwa ya WCB Wasafi amefyatua dude lingine,

Hii video mpya kutoka WCB Wasafi ‘Zilipendwa’ anasikika Boss Diamond Platnumz, Harmonize,Rich Mavoko, Rayvanny,

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open