Burudani

Kimadharau The Weeknd atoa sababu ya kuzitosa tuz za Video za MTV Mwaka huu

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Msanii The Weeknd ametoa sababu ya kutohudhuria tuzo za Video bora za MTV weekend  hii nakusema “SIKUJISKIA KWENDA TU”.

Kituo cha MTV kilitangaza kuwa The Weeknd atafanya show na alikuwa akiwania tuzo Nne.

Msemaji wake anasema The Weekndamekuwa kwenye tour kwa muda mrefu sana ,Alikubali hii show ya MTV siku nyingi sana kabla uchovu wa tuor hauja mdhuru, amechoka sana kwa sasa.

Hii ni show kubwa ya Pili ya The Weeknd ambayo ameikimbia bila taarifa.

Man Water Amchana Diamond Platnumz kuhusu kushindana na AliKiba

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open