Burudani

Alichoandika Wema Sepetu baada ya kusikia hukumu ya Elizabeth Michael ‘Lulu’ Leo

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya taarifa kutoka kuwa Mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela baada ya kukutwa na hatia katika mauwaji ya mwigizaji Steven Kanumba, mastaa tofauti wametoa ujumbe kwenye IG, Twitter na FB Zao.

Wema Sepetu aliandika hivi “Dah… Speechless… 😔😔😔 Pole my baby… This too shall pass… 😔😔😔 Dah… 😔😔😔”

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open