Burudani

Picha, The Weeknd na Selena Gomez hadharani kwa mara ya kwanza baada ya upasuaji

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Staa wa muziki The Weeknd ambaye ni mpenzi wa Selena Gomez amesifiwa sana na mashabiki wa muziki baada ya ripoti kutoka kuwa alikuwa karibu sana na mpenzi wake wakati anafaniwa upasuaji wa kupandikiza FIGO.

Imeripotiwa kuwa The Weeknd aliweka ratiba ya Tour yake ya  “Starboy: Legend of the Fall Tour” iendane sawa na matibabu ya Selena.

Inasemekana tatizo hili la Selena ndio lilipelekea The Weeknd kushindwa hata kuhudhuria na kufanya show kwenye Tuzo za MTV Mwaka huu.

  

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open