Udaku

Picha ya Wema Sepetu akila Denda na mpenzi wake inayosambaa Mitandaoni na alichosema..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu ameonyesha kusikitishwa na picha yake inayosambaa mtandaoni AkiMbusu mwanaume wake wa sasa.

Picha hii ipo kwenye kurasa tofauti za Udaku Instagram na Kupitia IG yake Wema Aliandika >>“Soooooo Disappointed….😔😔😔” kama ishara ya kuchukizwa na Picha hizi kusambaa huku pakiwa na maswali kama Picha Hii ilitokaje kwenye Simu yake ? Nani Ali Piga Hii Picha ? 

Izzo Bizness Azungumzia Shavu La Coke Studio Africa, Awasifia WCB Kwa Kunyaka Colabo Na Rick Ross

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open