Burudani

Rasmi, The Weeknd na Selena Gomez wameachana

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Staa wa Pop The Weeknd na Selena Gomez wameachana rasmi baada ya miezi 10 kwenye mahusiano  na taarifa hizi zimethibitishwa na mtandao wa PEOPLE.

Hivi karibuni Selena Gomez ameonekana kurudia urafiki wake na pop staa kutoka Canada ambaye pia ni Ex wake Justin Bieber.

Hivi karibuni Selena Gomez alionekana akipata chai ya asubuhi na Justin na weekend hii walionekana pamoja kanisani.

Hivi karibuni Selena alipotea kwenye macho ya watu baada ya kufanyiwa upasuaji wa FIGO

Fahamu kuwa familia ya Selena haiko sawa na Justin kutokana na jinsi alivyomtesa mtoto wao miaka kadha iliyopita wakati wako pamoja mpaka kuachana.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open