Burudani

Alichoandika Wema Sepetu Kuhusu #SeduceMe Ya Ali Kiba kiko hapa

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Bongo Movie Diva Wema Sepetu naye alikuwa na ujumbe mrefu kwa Ali Kiba baada ya kusikiliza wimbo wake mpya #SeduceMe. 

Kwenye IG yake Wema Sepetu ameandika I have something to tell Alikiba… Baba Tunashukuru kwa Mziki mzuri, unatukomesha sana… Unatupa shida masaa yote nyimbo inakuwa kwenye Repeat… Yaani sijioni naskiza nyimbo nyingine zaidi ya #SeduceMe … @elizabethmichaelofficial Najua nimesema nyimbo ila ushanielewa 😝😝.. Na ninatambua kwamba hili ni janga letu sote… Sijaathirika peke yangu na Seduce Me…. Kwa mara nyingine tena natoa shukran zangu za dhati kabisa kwako Bwana Bichwa… 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open