Burudani

Gharama zilizotumika kutayarisha filamu ya Heaven Sent ya Wema Sepetu, Jinsi ya kuipata ,Viko hapa

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Akihojiwa na #255CloudsFm Bongo Movie super staa Wema Sepetu amesema filamu yake mpya ya “HEAVEN SENT” imegharimu kiasi cha Milioni 38 za Kitanzania ili kukamilika.

Filamu hii ambayo imetengenezwa kwa viwangi vya kimataifa itapatikana kwenye APP Ya simu za mkononi, [ Nenda Google PlayStore, Tafuta WEMA SEPETU APP, Download It, Na Subscribe ili uweze kupata access ya kununua, kudownload na kuangalia Heaven Sent ] na kwa kiasi cha shilingi 500 utaweza kutazama dakika 30 za filamu hii na Movie ina Saa 1 na dakika 30, Ukitaka kuipakua ‘Download’ yote utalipia Shilingi 1500 tu,

Kwenye Heaven Sent yupo Wema Sepetu na mwigizaji bora wa kiume Tanzania Gabo Zigamba 

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open