Burudani

Wema Sepetu atoka kwa dhamana hadi kesi itakapotajwa Feb 28,mashtaka aliyosomewa ni …

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Bongo Movie Staa Wema Sepetu, Alhamis hii alipandishwa kizimbani kwenye mahamaka ya Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa mashtaka matatu.

Wema Sepetu na wenzake wawili wasomewa mashtaka 3 yanayohusiana na matumizi ya bangi,wamekana mashtaka hayo na kuachiwa kwa dhamana huku Kesi ikitajwa kusikilizwa Feb 28 2017.

Miongoni mwa mashtaka yanayomkali Wema Sepetu ni kukutwa na msokoto wa bangi nyumbani kwake.
Harmo Rapa Azungumzia Kukutana na P Funk, Aonyesha Gari Yake aliyopewa

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open