Burudani

#NewCoupleAlert,Wema Sepetu na Freeman Mbowe,maongezi yao ya simu yaliyosamba mtandaoni……

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

#Gossip Miongoni mwa stori kubwa Instagram Tanzania Leo June 4,2017 ni sauti inayosamba mitandaoni inayosemekana ni ya Wema Sepetu akiongea kwenye simu na Mwenyekiti wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh,Freeman Mbowe.

Kwenye #Convo hii Wema anaonekana kukasirishwa na Ubusy wa Mh, Freeman Mbowe, baadae Wema anapewa appoitment ya Nguvu yakwenda Moshi kwaajili ya Good Tyme……

Sikiliza Hapa….

#SammisagoNEWS #StoriBy #Joe.

Weka Comments Hapa

Open