Burudani

Tazama hapa trailer ya Documentary ya maisha ya Whitney Houston ‘Can I Be Me’….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Imetoka trailer ya Documentary ya maisha ya Whitney HoustonCan I Be Me‘ na inaonyesha upande tofauti wa maisha ya mtu umaarufu kama yeye.

Watu wa karibu na Whitney wanasema msemo wake maarufu zaidi aliopenda kuutumia ni  ‘Can I be me? ndio ilikuwa rahisi kutumia maneno haya kwenye makala hii

Makala hii ya Whitney: Can I Be Me, ilionyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye Tribeca Film Festival,na itatoka rasmi Aug. 26 kwenye Showtime.


#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open