Burudani

Dj Kutoka Nigeria DJ Jimmy Jatt asema hakuna beef kati ya Wizkid na Davido

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Legendary Dj Kutoka Nigeria DJ Jimmy Jatt amefunguka kuhusu beef kubwa la Wizkid na Davido nakusema ni Mashindano yenye Faida Kubwa.

Dj Jimmy Jatt amesema wasanii hawa ni marafiki, hakuna tatizo kubwa kati yao na huwa wanakula bata pamoja kwenye club moja bila ugomvi kutokea.

Dj Jimmy anasema ni kawaida kwa vichwa viwili vikubwa kwenye muziki Africa kushindanishwa na kupambanishwa na mashabiki na wasanii wengine, Ila beef la Davido na WizKid lina faida kubwa kwao,

#SammisagoNEWS

 

 

Weka Comments Hapa

Open