Burudani

Picha 24,Tattoo za Wiz Khalifa,alianza kuchora toka akiwa na umri wa miaka 16

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa Wiz Khalifa anasema ilikuwa ni ndoto yake kuwa na tattoo nyingi kwenye mwili wake, akiwa na uri wa miaka 16 mama yake alimpeleka kwa mara ya kwanza kuchora tattoo yake ya kwanza na kuilipia.

Kwa sasa Wiz Khalifa na miongoni mwa wasanii wenye tattoo nyingi zaidi kwenye mwili wake, kwenye orodha hii yupo Kid Ink na Lil Wayne,

  

Tattoo ya Papa mgongoni ilimpa maumivu makali,Ni alama ya Ushujaa,Kama Papa naweza kukabiliana na tatizo lolote

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open