Burudani

Album ya Kendrick Lamar imekuwa album ya kwanza mwaka 2017 kuuza kopi milioni 2

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Album ya Kendrick Lamar imekuwa album ya kwanza mwaka 2017 kuuza kopi milioni Mbili ‘2x Platinum’ imethibitishwa na RIAA ‘Record Industry Association of America‘.

Mwaka huu imekuwa ngumu kwa album mpya duniani kufikia mauzo ya Platinum ‘Kopi Milioni Moja’ au zaidi, hivi karibuni Jay Z amefanikiwa kufikia Platnum kupitia album yake ya 4:44.

Bonge La Nyau kaelezea alivyokatikiwa na Gigy Money, Alivyolewa na Kumbambia

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open