Burudani

Yemi Alade ameweka rekodi ya kuwa na video ya muziki iliyotazamwa zaidi African

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Msanii kutoka Nigeria Yemi Alade ameweka rekodi ya kuwa na video ya muziki iliyotazamwa zaidi African katika mtandao wa YouTube.

Yemi Alade kupitia video yake wimbo wake ‘Johnny’ ina watazamaji milioni 79 na namba hii imepiku namba ya watazamaji wa video ya P Square ‘Personally’ yenye watazamaji milioni 78.

Kwa sasa Yemi Alade ndio msanii mwenye video iliyotazamwa zaidi Youtube kupitia VEVO Account Yake, pia video ya Personally ya P Square Ipo VEVO,

P-Square – Personally

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open