Burudani

Lil Wayne amefunguliwa mashtaka yanayohusiana na ubaguzi wa rangi…..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa Lil Wayne amefunguliwa mashtaka yanayohusiana na ubaguzi wa rangi baada ya mlalamikaji kusema amepigwa ngumi ya uso na rapa huyu na kutamkiwa maneno ya kibaguzi.

Mlalamikaji ni Mlinzi wa Club ya Hyde mjini California anasema mnamo June 2016 Lil Wayne na kundi lake walikuwepo kwenye club hio kwaajili ya After Party ya BET Music Awards na ndio tukio hilo lilipotokea.

Mlinzi huyu anasema Lil Wayne alinirushia glasi ya pombe usoni na kusema maneno ya kibaguzi ambayo ni “F*** you white boy!” Maneno WHITE BOY yamepelekea kesi hii kuhusishwa na Ubaguzi wa Rangi….

Camp ya Lil Wayne imekanusha taarifa hizi huku askari huyu akidai fidia ya dola $25,000 za Kimarekani.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open