Burudani

Tuhuma za kuwanyanyasa kingono wanawake zamletea matatizo R Kelly.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya kutuhumiwa kuwanyanyasa kingono wanawake kadha kwenye jumba lake flani la kifahari, show za ziara ya muziki ya R Kelly ‘After Party’ zimeanza kupungua.

Show nne katika show 10 kwenye maeneo tofauti zimefutwa, show ya Louisiana, Dallas na show ya mjini Los Angeles zimefutwa kutokana na manunuzi madogo ya tickets

Hata hivyo R Kelly alikana madai kwamba anawazuia wanawake kadhaa katika dhehebu lake analotumia kuwanyanyasa.

Kelly tayari amewahi kukabiliwa na tuhuma za dhulma za kingono lakini hakupatikana na hatia.

Amekana kufanya makosa yoyote.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open