Burudani

Yvonne Chaka Chaka ameongelea tuzo ya BET anayotegemea kupewa…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Msanii mkongwe wa muziki kutoka Afrika Kusini, Yvonne Chaka Chaka ameongelea tuzo ya heshima ya BET atakayo pewa na kusema ni heshima kubwa kupewa tuzi hii kwaajili ya kipaje chake.

BET ilitngaza jumanne kuwa Yvonne Chaka Chaka Aka ‘Princess of Africa’ atapewa tuzo ya heshima ya 2017 BET International Global Good Star na Power award.

Yvonne anasema taarifa hizi zilikuja kama mshtuko kwake, na amefurahi sana kupewa heshima na kituo anachokipenda.

I love BET, I watch their channels but I always thought it was more for the young people. So when I was told that I am nominated, I was deeply humbled because they are recognising me for respecting my talent and the responsibility it comes with it,

Yvonne,amekuwa studio kwa miezi 18 akitayarisha album yake mpya.

Tuzo ya BET International Global Good Star and Power hupewa kwa watu waliona mchango mkubwa katika kuleta mabadiliko sehemu tofauti duniani.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open