Burudani

Kuelekea Birthday ya Zari The Boss Lady, katoa hizi picha mpya, Picha yake yenye LIKES Laki Moja ziko, Viko hapa

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kuelekea kwenye siku ya kuzaliwa ya Zari The Boss Lady Aka Mummylicious, baby mama huyu wa watoto wawili wa Diamond Platnumz ameanza kutoa picha kwaajili ya Birthday yake itakayokuwa 23 September 2017.

Hivi karibuni Ujumbe wake kuhusu usaliti wa Diamond Platnumz na Hamisa Mobetto ulipata like zaidi ya Laki Moja…

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open