Burudani

Zari The Boss Lady afurahia maendelea ya Diamond Platnumz,2018 ni mwaka wao

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mpenzi wa muda mrefu wa msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ametangaza ujio wa makao makuu ya WCB Wasafi, patakuwa na Radio, Tv, Studio ya Video, Filamu na Muziki, Pia ofisi za bidha zake tofauti kama Chibu Perfume na Diamond Karanga zitakuwa hapo, Zari ameandika ujumbe huu ya kufurahio mafanikio ya baba watoto wake wawili.

Zari The BossLady ameandika >>Hongera @diamondplatnumz sana kwa juhudi na bidii uliyonayo Allaah akujalie kwa mengine mazuri zaidi. Siku zote umekuwa mpiganaji wa kazi zako, kwa kuwa njia pekee ya kuijenga familia ni kupiga KAZI najua malengo yako Alhamdulillah! #wcbTV #wcbFILMSTUDIO #wcbMUSICSTUDIO #wcbRADIO  #wcbHEADQUATERS bilakusao  #DiamondKaranga na  #ChibuPerfume 2018 looking good👌🙏”

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open