Habari

Maneno ya Mh Zitto Kabwe Baada ya Lazaro Nyalandu kutangaza kujiuzulu leo

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya Mbunge wa Singida Kaskazini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Lazaro Nyalandu kujiuzulu nafasi yake ndani ya CCM na kujiuzulu nafasi yake ya Ubunge kupitia (CCM) kwa kile alichodai hafurahishwa na mambo ya kisiasa yanayoendelea nchini, Mh Zitto Kabwe ametumia kurasa yake ya Facebook kutoa maneno haya Kuhusu taarifa hizi

Mh Lazaro Nyalandu amejiuzulu nafasi yake ndani ya CCM na nafasi yake ya Ubunge kupitia CCM

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open