Michezo

Kauli ya rais wa Real Madrid kuhusu kibarua cha maisha cha Zinedine Zidane….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kocha Zinedine Zidane anaweza kukaa Real Madrid maisha yake yote kwa mujibu wa rais wa klabu hio Florentino Perez.

Kauli hio imekuja baada ya kocha huyo mfaransa kushinda kombe la Champions League kwa miaka miwili mfululizo, baada ya ushindi wa bao 4-1 dhidi ya Juventus.

Rais wa klabu ya Real Madrid ameiambia radio ya Spanish Cadena Ser Zidane can stay at Real Madrid for the rest of his life,” akimaanishaZidane anaweza kukaa Real Madrid maisha yake yote.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open