Habari

Alichoandika Zitto Kabwe kuhusu uchunguzi wa shambulio la Tundu Lissu.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe ametoa maneno haya kupitia Twitter kuhusu kuhusu uchunguzi wa shambulio la Tundu Lissu Dodoma.

Mh Zitto Kabwe ameandika kwa lugha ya Kingereza>I call for an independent INTERNATIONAL investigation on assassination attempt against MP Tundu Lissu. Local organs shall not be trusted<

Akimaanisha >“Uchunguzi wa jaribio la kumuua MP Tundu Lissu ufanywe na vyombo kutoka nje ya Tanzania,Vyombo vya Tanzania haviaminiki”

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open