Video Mpya Ya Jose Chameleone Inaitwa Milliano.

jose

Kila msanii amepanga kufunga mwaka huu ka style tofauti, nyimbo nyingi zimekuwa zikitoka kuanzia September 2014. Hii video mpya ya Jose Chameleone. Video inaitwa ‘Milliano’ . Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook    Read More »

Hii Video Ya Waje Ft Diamond ‘Coco Baby’

waje 2

Akiwa mbioni kutoa album yake mpya, Waje kutoka Nigeria amefanikisha collabo yake na Mtanzania Diamond Platnumz.  “Coco Baby” ndio jina la wimbo na video imetayarishwa na muongozaji maarufu Godfather. Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook    Read More »

Video Ya P-Square ‘Personally’ Yaweka Rekodi Youtube Kwa Video Za Africa.

p square

Kituo cha Mtv Base kimeripoti kuwa video ya wasanii kutoka Nigeria P Square ‘Personally’ imefikia watazamaji milioni 30 kwenye mtandao wa youtube na kuweka rakodi ya video ya wimbo iliyotazamwa zaidi Africa. Video ya Personally iliongozwa na kaka wa P Square ambaye ni Jude Engees Okoye akishirikiana na Clarence Peters. Video iliwekwa mtandaoni June 21 2013 na mpaka sasa imetazamwa ... Read More »

Picha, Diamond Ndani Ya Jumba La Big Brother.

diamond

Ikiwa ni sehemu ya kuchangamsha show ya Big Brother, wasanii tofauti huingia ndani ya nyumba na kujichanganya na washindani wa Big Brother. Hii imekuwa mara ya pili kwa msanii Diamond kutoka Tanzania kualikwa ndani ya jumba hili la Bba na sasa alikuwa na mwanamuziki maarufu kutoka Congo ‘Fally Ipupa’ . Awamu hii wasanii hawa wawili wameingia kwenye jumba la Bba ... Read More »